Nchini India wanafunzi ishirini na tatu wamefariki baada ya watoto
hao kula chakula chenye sumu. Wanafunzi hao walipewa chakula chenye sumu
ambacho kilimwagikia kwa bahati mbaya.
wazazi wa watoto hao
waliandamana na kutaka haki itendeke juu ya watoto hao wazazi wanataka
headmistress nae auliwe kama alivyoua watoto wao.
pia
huko nchini ghana wanafunzi arobaini na tatu Twifo Praso Senior High
School wamenusurika kufa baada ya kula chakura chenye sumu waliwahishwa
hospitali na kunusurika kufa.
No comments:
Post a Comment