Nchini India wanafunzi ishirini na tatu wamefariki baada ya watoto hao kula chakula chenye sumu. Wanafunzi hao walipewa chakula chenye sumu ambacho kilimwagikia kwa bahati mbaya.
wazazi wa watoto hao waliandamana na kutaka haki itendeke juu ya watoto hao wazazi wanataka headmistress nae auliwe kama alivyoua watoto wao.
pia huko nchini ghana wanafunzi arobaini na tatu Twifo Praso Senior High School wamenusurika kufa baada ya kula chakura chenye sumu waliwahishwa hospitali na kunusurika kufa.
No comments:
Post a Comment