Kama unataka kwenda zanzibar lazima ubebe na kitambulisho ndipo unaweza kupewa tiketi.Kitambulisho hicho kiwe ni cha kupigia kura, zanzibar mkazi, au barua kutoka kwa mwenyekiti wa mtaa.
Baadhi ya abiria wamejikuta wakikwama pale feri kuendelea na safari zao za kwenda zanzibar kutokana na kukosa vitambulisho.
Hakukuwa na taarifa za msisitizo wa jambo hilo ndio maana linaonekana ni geni japo sumatra wanadai walitoa taarifa.
No comments:
Post a Comment