Kulala muda mmoja kila
siku kunainamarisha na kuongeza uwezo wa mtoto kufikiri vizuri.
Mtoto anayelala kila siku muda ule ule bila
kuchelewa kunamfanya aweze kufikiri vizuri na awe na kumbukumbu nzuri. Pia
anakuwa na uwezo wa kuweza kujenga hoja
Research mbalimbali zinaonyesha kuwa mtoto mwenye muda
maalumu wa kulala anakuwa na uwezo wa kufanya vizuri kitaaluma. Pia research
iliyofanywa na amanda sacker, professor in the department of epidemiology and
public health at university college london. Inaonesha kuwa kama mtoto
anapendelea kwenda kulala hata kwa
kuchelewa kidogo ila inafanywa kila siku bado itakuwa ni vizuri kwa afyayake.
No comments:
Post a Comment