Thursday, October 11, 2012

MSIMU MPYA UMEWADIA

Ingekuwa serengeti fiesta tungesema msimu mpya burudani ile ile lakini coz this is all about colleges and  university also institutes za kupokea wanachuo waliokuepo na wapya. Hii ndo ile time ya kupata marafiki wapya  wanaotoka katika different life style na kipato tofauti.
wale wa familia bora wataendelea na mbwembwe kibao za matumizi na wale waliotoka kijijini watakuwa busy kujifunza new life style za kuwa wakishua while huko hata computer hukuwahi kuiona lakini sasa wewe kila kitu wakijua wewe.
kuna mtu atadiriki hata kukana sehemu anayotoka ili tu asionekane mshamba hapo ni lazima uwe mtumwa.

No comments:

Post a Comment