Saturday, October 13, 2012

GOIG......



Siku ya ijumaa nilitembelea (getting old is to grow) GOIG Handcraft Vocational school and GOIG nursery school.
Executive Director ni Misana Manyama ambae anasimamia na amekuwa na mchango mkubwa katika ubunifu wa vitu mbalimbali, kama vile ushonaji , utengenezaji wa carpets, vikoi, na mabegi.
 Mr Misana Manyama

Hilo hapo juu ni duka la bidhaa mbalimbali zinazozlishwa GOIG
Wateja wakichagua bidhaa.
Mashine zinazotumika kutengeneza carpets
Baadhi ya watu waliokuwa wametembelea chuo na shule GOIG hapo ni eneo la watoto
Carpet making hamna umeme hapo kazi zinaenda.
Sehemeu hii hutumika kuweka rangi kwenye product mbalimbali.

No comments:

Post a Comment