wanaoendelea
watatumbukia katika mtego wa matamasha ya uongo na kweli yanayoandaliwa mwisho
wa mwaka ili waweze kukomba vijihela vyote vya watoto wa makabwela na wenye
navyo.
Kila Vyuo viko mbioni
kufunguliwa na vingine vimefunguliwa, soon wanafunzi wapya na weekend ikifika
utasikia makelele ya kila aina mara inter-college bash, street music na mengine
mengi Club nazo haziko nyuma kuleta kila aina ya msaanii anayewashika wengi.
Vijana jipangeni coz
wengi wao wataandaa hayo matamasha mapema mkiwa na BOOM na as soon boom
likikata hakuna tamasha wala club iliyo wazi. Watu kazi yenu ya kugongea
inashika hatamu, mara ile misemo ya ukiwa nacho tumia ukikosa jutia inawabamba
kinoma koz mnakuwa mzigo kwa wale ambao walikuwa makini na pesa zao mwanzo.
No comments:
Post a Comment