Saturday, July 14, 2012

MLIODHANI T.B.JOSHUA HANA MTOTO,KWA TAARIFA YENU MTOTO WAKE WAKWANZA KAGRADUATE JANA

Mtoto wa kwanza wa mtumishi wa mungu T.B.Joshua anayeitwa Serah Joshua jana amepokea degree yake ya kwanza ya sheria na kupata matokeo mazuri .Amepata uppersecond division.Nakupata shavu la kusoma masters ya sheria katika vyuo kama columbia university,New york university(NYU), UCLA, LSE (london school of economics)
Hongera Serah!

No comments:

Post a Comment