1.Tangu nilipolisikia neno la Mungu na kumpokea Yesu wa maisha yangu nini kimebadilika?
2.je, mimi ni mkristo anayefuata na kutendea yale ambayo Biblia inaelekeza?
3.je,naifanya kazi ya Mungu kama ipasavyo?
4.je, naishi maisha matakatifu?
5.je, nikifa leo naenda wapi?
No comments:
Post a Comment