Siku zote binadamu wengi huwa tunakumbuka ubaya kuliko wema wako.Ni vigumu kukumbuka yale mema yote mliyokuwa mkifanya mlipokuwa marafiki wengi wetu tunajikuta tukiwasema walewliokuwa marafiki zetu ambao lako lilikuwa lake na lake lako.Leo hii mtu huyo huyo ndo unamsema vibaya na kumchafua kwa watu wengine je,siku mkiwa marafiki tena itakuwaje au kwasababu wahenga wetu walisema mavi ya kale hayanuki.
Tusitukane wakunga na uzazi ukingalipo leo hii unamsema vibaya aliyekuwa rafiki yako halafu kesho utahitaji msaada wake je,itakuwaje?tukumbukeni wema ambao mlikuwa mnatendeana sio kusemana vibaya kwani hamna mazuri mliyofanya pamoja?
No comments:
Post a Comment