Saturday, June 16, 2012

Go twiga stars

Ndugu zangu tuungane pamoja kesho twendeni uwanja wa taifa tukawasupport twiga stars support yako kwao ni muhimu.tuungane pamoja kwa umoja kuwashangilia kuwepo kwako ni muhimu. Wako uwanja wa nyumbani jamani tujitahidi sana. Go TwiGa!!!

No comments:

Post a Comment