Mtu wa kwanza aliulizwa
1.una Gmail akaunti? -ndiyo
2.una Google+ akaunt? -ndiyo
3.una yahoo akaunti? -ndiyo
4.una yahoo messenger? -ndiyo
5.una facebook akaunt? -ndiyo
6.una twitter-akaunti? -ndiyo
7.una blog? -ndiyo
8.una whats-up? -ndiyo
9.una BBM pin? -ndiyo
10.una que-pasa akaunti?-ndiyo
Tunaomba namba ya simu
0719xxxxxx
0764xxxxxx
0783xxxxxx
0777xxxxxx
222xxxxxxx
s.l.p dsm
okay tutakupigia. akiwa anatoka akaulizwa tena unawezaje kumudu mitandao yote hiyo?-natumia mchana.
MTU WA PILI
unatumia mtandao gani wa kijamii?--goole+, facebook, twitteer.
tunaomba namba ya simu
0783xxxxxxx
0713xxxxxxx
okay!
s.l.p dd
dodoma
MTU WA TATU
Unatumia mtandao gani wa kijamii -facebook
mwingine-sina
email-sina
namba ya simu
0763xxxxxxx
s.l.p yy
mbeya
MTU WA NNE
Unatumia mtandao gani wa kijami-sina
emal yako-sina
namba ya simu-sina
sanduku la posta
s.l.p xx
s/m mwembeukwaju.
mwanza
MATOKEO
WAKWANZA,Tusipoteze muda atamaliza umeme na kazi hafanyi
WA PILI,Tumjibu atapewa onyo kabla hajaanza utendaji kazi.
WA TATU, apewe kazi
WA NNE, Atachelewa kupata majibu ila ajibiwe km amepata.
No comments:
Post a Comment