Monday, June 25, 2012

NASHINDWA KUELEWA MFUMO WA NCHI YETU

Ninapoenda kuomba sehemu za kufanyia field maofisini huwa naambiwa nafasi hakuna.
Inanishangaza pale ambapo unaomba field kwa mwez mmoja tu unanyimwa! je ukiomba kazi utapata kweli?
Kitu cha pili ninapokuja kupigwa butwaa ni ile hali nimeenda kwenye hiyo ofisi naambiwa hamna nafasi anaenda mtu mwingine na memo anapata! hapo ndo nathibitisha usemi wa mwalimu wangu wa sekondari kuwa wenye meno watakula wasio na meno........

No comments:

Post a Comment