Sunday, July 21, 2013

MATATIZO SUGU YA KUWA ROOMATE.



1. ANATUPATUPA VITU HOVYO
Kuna watu hawana ustaarabu wa kutunza vitu pale vinapostahili mara mkoba umetupwa kitandani, mara kikombe juu ya dressing table na viatu kavijaza room nzima.  Nguo zake siku zote zipo kitandani na chini.
Wambie atunze vitu vyake sehemu inayostahili kama ni mbishi virundike vitu vyake sehemu moja.
 

2. MAKELE
Muda mwingi anaimbaimba, anaongea na simu kwa sauti kali, anaweka mziki kwa sauti ya juu tv inawashwa 24/7.
Solution:  ongea nae au tafuta earphone  za kukusaidia kupunguza makelele.

3. ANAMARAFIKI WENGI WANAOMTEMBELEA ROOM
Waatu wamejaaa room huwezi hata kubadili nguo, huna  mda wa kupumzika . Movement za watu haziishi room kwenu everytime there is a guest in tour roo. No privacy at all. Pia anataka wewe uwe rafiki yake.
Solution. put in  your earphone or fanya mambo yako ambayo yatamfanya agundue kuwa ukobored au ashindwe kukuoneresha.


4.MWIZI
Kuna roommate ni mwizi kila unachoweka anakwapua, she just feel like stealing and it makes her feel better.
Solution.  Tunza vitu vyako vizuri. Asiweze kuiba.

5. MOOD
Anaiveshi kwa mood mara akusalimie au asikusalimie, if she don’t feel like talking to you just give her a time.
Solution
Give her time to do whatever she like ilimradi hakualibii mambo yako.



6. ANARUDI USIKU SANA.
 Kila siku unatakiwa ukate usingizi uamke kumfungulia mlango, anarudi saa nane au tisa kabisa then anagonga kwa sharii hadi majirani wenyewe wanakereka.
Solution; tengenezeni funguo mbili kila mtu na zake ili wewe ujifungie inside ze room akirudi ukwepe shari.

7. HAFANYI USAFI WA ROOM HATA SIKUMOJA.
anachafua chumba lakini hasafishi, haoshi vyombo wala hatupi mifuko yake aliyobebea chakula. wewe ndiye uko responsible kumfanyia usafi inakera kufanya usafi kila siku.
solution, mwambie ukiona hakuelewi muwekee vyombo vyake vichafu kitandani.

8. ANAKUJA NA MPENZI WAKE ROOM KILA SIKU AND IT'S ALL ABOUT SEX.
they're inside the room kissing each other and doing foreplay in front of you. 
Soltuion, try to talk to her if she don't bother taking some action, mwambie mpenzi wake kama hupendi tabia yao. wachukurie hatua and set a ground rule for your room.

 

No comments:

Post a Comment