Saturday, August 18, 2012

RVP KATUA MAN U VP HALI YA CHICHARITO?....

Usajiri wake umekuwa ni gumzo kila kona kwani yeye ndiye amethibitisha kuwa Arsenal sasa haiwezi kushindana na timu kubwa kama man u.Obviously yeye ndiyo amekuwa mchezaji wa kwanza kwenda old trafford toka wenger akose kombe emirates.
wasiwasi wa wengi ni kuwa je chicharito atapata nafasi kikosi cha kwanza?


RVP.     JOY4REVER

 


Robin van persie.







chicharito





JOY4REVER



No comments:

Post a Comment