Saturday, August 18, 2012

MWANAFUNZI WA MUSIC WA KICHINA AWA MISS WORLD 2012


Chinese Music Student Wins Miss World-2012
Miss China,  mwanafunzi wa muziki (23) ameshinda na kutwaa taji la miss wa dunia (Miss World-2012)  siku ya jumamosi alisema muandaaji wa mshindano hayo.

Wenxia Yu alifuatiwa na Sophie Elizabeth Moulds wa Wales na Jessica Michelle Kahawaty wa Australia, kutokaana na website ya matukio hayo.a
mwakilishi wa Urusi  Elizaveta Golovanova, ( 19) ,mwanafunzi wa sheria wa Smolensk, hakufanikiwa kufika finali.
mashindano hayo yalikuwa na washiriki 116, na yamefanyika kwenye jiji la Ordos mjini kwa kina yu.
China ni mara yao ya pili kutwa taji hilo tangu mashindano hayo yaanze mwaka 1951 walitwaa taji mwaka 2007 Zhang Zilin

usiniulize kama Lisa jensen wa Tanzania karudi na nini lakini amejaribu kadri ya uwezo wake.


No comments:

Post a Comment