Tuesday, August 14, 2012

RAIS MUGABE ALONGA KUHUSU ALAMA YAO....

Zimbabwean President Robert Mugabe gestures during the country's Heroes Day commemorations in Harare. (AP)

Rais wa zimbabwe R.Mugabe amesema alama yao ya chama cha Zanu-PF siyo ya fujo na wazimbabwe wenzao, bali ilitumika wakati wa kupigania ukoloni.
aliyasema hayo walipokuwa wazaazimisha siku ya mashujaa wa zimbabwe.

No comments:

Post a Comment