kama unafanya research yoyote inayohusiana na medical lakini hujui sehemu ya kuipeleka leo umepata ufumbuzi.Wanafanya utafiti wa aina mbalimbali na madawa ya kila aina.
Peleka research yako NIMR national institute for medical research tanzania wanapatikana mikoa mbalimbali ambayo ni Mbeya, Tanga, Tabora, Mwanza na Dar es salaam ambapo makao makuu yanapatikana hapo.
nimr headquater
No comments:
Post a Comment