Upungufu wa ajira unapelekea watu kufoji CV zao ili tu waweze kuendana na matakwa ya kampuni.
Watu wanakopi baadhi ya sifa na ujuzi kutoka kwenye mitandao. Kutokana na makampuni mengi kutangaza ajira kwa watu wenye ujuzi na uzoefu wa mudamrefu.
Watu wakishapata kazi baada ya kudanganya kwenye CV zao inaleta shida katika utendaji kazi wao na matokeo mabaya kwa kampuni.
No comments:
Post a Comment