Rais wa Marekani Barrack Obama (kulia) Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron (kushoto) na waziri mkuu wa Denmark Helle Thorning Schmidt (katikati) wakipiga kapicha ya pamoja pembeni ya first lady wa Marekani Michelle Obama.
Watu walichukulia jambo hilo kitofauti sana wengine wakisema ni kukosa adabu lakini David Cameroon alisema alifanya hivyo kumuenzi Mandela aliyekuwa anapenda kuonesha upole na upendo kwa watu.
Tukio hilo lilitokea wakati wa shughuli za kumkumbuka Tata Nelson Mandela tarehe december 10 2013 FNB standium, Johaneesburg, South Africa
Wednesday, December 11, 2013
Selfies hata Msibani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment