Unapoianza safari yoyote ile anza na Mungu na unapoimaliza maliza na Mungu.
Mungu ni mwema katika maisha yetu yote hatakuacha hata sikumoja. tulianza safari bila matumaini ya kuimaliza but now we here saying thankyou to our Almighty God.
BDFIP2010/13 is my lovely teamwork i wish to be with them forever that will never happen again zaidi nawatakia baraka na mafanikio mema.
No comments:
Post a Comment