Wednesday, August 8, 2012

WANAFUNZI KUFAIDIKA NA EAST AFRICAN COMMUNITY




Wanafunzi watakuwa na fursa ya kusoma vyuo mbalimbali ambavyo viko katika jumuiya ya nchi hizo kwa kuwa na passport ya jumuiya.

Wanafunzi wengi wanaotokea katika nchi ambazo ni member wa East African Community watakuwa na fursa ya kuweza kufanya kazi katika nchi mbalimbali ambazo ni member baada ya kuhitimu.

Wanafunzi watashiriki katika mashindano mbalimbali kama vile mashindano ya kuandika essay (The  EAC Essay Writing Competition) michezo ya aina mbalimbali.



kuwepo kwa sector mbalimbali zinazochangia kukua kwa elimu kama vile

Situation Analysis (SITAN) on the Education Sector response to HIV and AIDS

The Inter University Council for East Africa (IUCEA) 

Establishment of the East African Culture and Sports

 CommissionEstablishment of EAC Centers of Excellence






No comments:

Post a Comment