Wednesday, July 4, 2012

NGUVU ILYOPO KATIKA MAOMBI.

Nguvu ya maombi ni kichwa somo katika semina iliyoandaliwa na kanisa la full Victory Gospel church  semina hiyo itaongozwa  na pastor Mwasa pamoja na wachungaji wengine wa kanisa hilo.
semina inaanza siku ya jumatano tarehe 04/07/2012 -08/07/2012
Mahali; temeke mkabala na ttc.
muda;kuanzia saa kumi jion.
usikose.
Unakaribishwa sana.

No comments:

Post a Comment