Wednesday, July 4, 2012

JE, VYOMBO VYA HBARI,MITANDAO YA KIJAMII IMEONGEZA AU IMEPUNGUZA IMANI YAKO?MEONGEZA AU IME

Kupitia mitandao  ya kijamii kama facebook, twitter, gmail, Google plus, quepass, skype na mingine imeongeza imani yako au imepunguza imani yako? hebu jiulize unatumia mda mwingi katika kusoma Biblia, maombi au mda mwingi ni unautumia kwenye mitandao ya kijamii kuliko kwenda ibadani? Muda mwingine runinga, redio, mziki, magazeti, pamoja na internet vinaweza vikaua au kuongezea imani yako kutegemea na jinsi unavyovitumia.
Imani huja kwa kusikia na kuona hivyo ujumbe mwingi unaokuja kichwani mwako ndio unaooweza kuua au kuikuza imani yako.kuna baadhi ya ujumbe ambao unaweza ukawa unaupata katika vyombo  vya habari mablimbali mfano,"mungu ni mmoja" , "ishi upendavyo", "# yolo"-you only leave once, mtu anakuwa atumia falsafa za kibinadamu anazokutana nazo mara kwa mara kuliko kufuata Biblia inasemaje.
Hivyo tujikite zaidi katika kuangalia na kuwa karibu na vitu ambavyo vinattuweka karibu zaidi na Mungu zaidi kama vile kusoma Biblia, kuimba tenzi za rohoni, maombi, na kusoma vitabu na website na blog zinazozungumzia neno la mungu.pia kuwa makini na imani mbalimbali.soma vitu vingi uongeze maarifa.
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa hivyo


No comments:

Post a Comment