Wednesday, June 13, 2012

MGEMA AKISIFIWA...

Sisi kama wanadamu huwa tunaamini kuwa jikubali kwanza wewe ndipo wengine wakukubali.
lakini kuna watu ambao wanajikubali kiasi kwamba wanaharibu hadi kukubalika na wengine kwa sababu wanazidi kujikubali kupita kiasi kama tunavyojua kuwa kila jambo likizadi ni sumu.

Hukatazwi kujikubali ila kuwa na kiasi cha kujikubali ili uache nafasi ya wengine kujikubali



No comments:

Post a Comment