Umoja wa nchi za Ulaya (The European Union) umeahidi kuzisaidia nchi za Afrika kifedha ili kufanikisha miradi mbalimbali. Katika mkutano wa siku mbili wa EU-Africa summit uliyoisha Alhamis.
Kutokana na ripoti Africa Review, EU itatoa $38bn kwa nchi za Afrika kwa miaka sita kudhamini miradi mbalimbali.
Kiasi cha fedha kitachotolewa kilisubliwa kwa hamu baada ya China mwaka jana july 2013 kuahidi $20bn kuisaidia Africa.
mvutano uliojitokeza mijawapo ulikuwa ni suala kupitishwa kwa sheria dhidi ya ushoga nchini Uganda na Nigeria.
No comments:
Post a Comment