Dr. steven ulimboka amerudi Tanzania kutoka south Africa alikokuwa anapata matibabu baada ya kutekwa na kupigwa na watu wasiojulikana siku ya tarehe 26 june mwaka huu.amerudi akiwa na afya njema kabisa, na amesema yuko fit kabisa na tayari kuendelea na kazi zake za kila siku.
alipokuwa hosptalini
Mamia ya watanzania walijitokeza uwanja wa ndege wa kimataifa wa J.k. Nyerere kumpokea Dr.ulimboka wakiwa wameshikiria mabango yaliyoandikwa ''Ulimboka ni shujaa'' ''karibu tena ulimboka''
Katibu wa chama cha madaktari Edwin Chitage amesema ''wataendelea kupigania haki ili selikali iimarishe huduma za afya''
Tatizo sisi watz tunahsi tunaamani wakati watu wanateswa na kuumizwa.mwisho wa siku hamna kinachofanyika
ReplyDelete